ARIDHI NI MALI WEKEZA SASA

Huduma zetu
- Tunauza viwanja vilivyopimwa
- Tunafatilia hati kwa uharaka
- Tunafanya Upimaji wa ardhi
- Tunafatilia vibali vya ujenzi
- Tunatoa Ushauri kuhusu ardhi

img 2011
img 2010

Kuhusu sisi

Champion Real Estate Limited ni kampuni inayoongoza katika huduma za ardhi na mali isiyohamishika nchini Tanzania. Tunakupa huduma za kitaalamu, ushauri na urahisi katika kupata kiwanja chako kwa gharama nafuu na kwa uaminifu wa hali ya juu

Champion Real Estate Limited ina miradi mbalimbali katika maeneo yanayokua kwa kasi:

Miradi yote na bei zake

CHALINZE – PINGO CENTER

 

📍 Km 2 kutoka Pingo Center (barabara kuu ya Morogoro)

📍 Pembeni ya barabara ya kutoka Bagamoyo

💰 Bei:

  • Kwa mkopo: 5,000 TSh kwa sqm – malipo miezi 24
  • Kianzio: 83,333 TSh (kiwanja cha sqm 400)
  • Kwa cash: 4,000 TSh kwa sqm

TABATA SEGEREA

 

📍 Km 1 kutoka kituo cha “Kwa Bibi”

💰 Sqm moja: 170,000 TSh

  • Malipo miezi 3

  • Kianzio 50%

BUNJU A

 

📍 Km 1.8 kutoka Bunju A Center

💰 Sqm moja: 55,000 TSh

  • Malipo miezi 6

  • Kianzio 40%